helena bukuku

0 Min 0 Participants
Paza Sauti
“Paza Sauti!!” - Waambie wanafunzi waunde vikundi vya wanafunzi 2-3, Waambie wanafunzi katika vikundi waandae hotuba ya asubuhi yenye maneno 100 na wachague kichwa cha hotuba, kila kikundi kiwasilishe hotuba yao mbele ya darasa, baada ya uwasilishaji darasa litauliza maswali kwa kila kundi linalowasilisha, Mwisho darasa wachague hotuba zilizowavutia na sababu zake.

Comments

avatar
Tukupala Mwalyolo
2 years ago

i like it

avatar
Deogratiasijkbn Gemini
1 year ago

Hii ni nzuri sana kwa wanafunzi hadi wa darasa la nne

avatar
PAULAMILLIE MAKAFU
1 year ago

safi sana

avatar
Tukupala Mwalyolo
8 months ago

n nzuri

avatar
Tukupala Mwalyolo
8 months ago

i like it

avatar
Tukupala Mwalyolo
8 months ago

nimeipenda ni nzuri sana

avatar
Tukupala Mwalyolo
7 months ago

nice