Ms Mwale

5 Min 6 Participants
Kujifunza kuongea kwa umatin (Bungeni)

Wanafunzi wanajifunza kuzungumza Bungeni

Waambie wanafunzi watano au zaidi wafike mbele ya darasa na kufanya mijadala kama ya bunge, wakiongozwa na mmojawapo ambaye atafanya kazi kama Spika. Wape nafasi ya kujielezea na kutoa hoja.

Comments

No Comments Found