Caroline Mwalyolo

0 Min 0 Participants
Andaa makundi ya wanafunz 2_4,gawa vifaa vifuatavyo katika kila kundi,kikombe yai,kata na fimbo,waanzishie watoto wimbo kisha wao waitikie mfano hii ndio e eee ipo kama kata eee,waimbe kwa kulinganisha silabi zote,kisha waulize maswali yafuatayo herufi gani ipo kama yai?herufi gani ipo kama kikombe?herufi gani ipo kama fimbo? herufi gani ipo kama kata? Activity hii inafaa kwa darasa la awali,darasa la kwanza na darasa la pili, pia inafaa kwa somo la kusoma,kuandika na kuhesabu.

Comments

No Comments Found