Dickson Fredy

0 Min 0 Participants
Kuunda makundi ya wanafunzi watatu watatu na kuwaagiza wanafunzi Kila kundi kuimba wimbo wanoufahamu,Kila kundi liimbe wimbo wao tofauti na kundi jingine.Baada ya kuimba utawauliza wanafunzi Kila kundi wimbo wao una funzo gani katika maisha yetu ya Kila siku? ,Nyimbo hizi zitasaidia kukuza stadi za maisha katika kufikiri kiufasaha,kusikiliza kwa Makini,kujiamini,kuthubutu,kushirikiana,kuongoza na kuongozwa na kazi hii inasaidia Sana kufundishia Elimu ya awali,Darasa la Kwanza na Darasa la pili

Comments

avatar
Renalda Massawe
2 years ago

Nzuri

avatar
Tukupala Mwalyolo
2 years ago

i like this activity