helena bukuku

0 Min 0 Participants
Kuwagawa wanafunzi katika makundi ya watu watatu na kuwagawia picha za wanyama wafugwao, wanafunzi wazichunguze picha walizopewa kisha wataje majina ya wanyama waliopo kwenye picha. Mwalimu kuwataka wanafunzi waigizaji sauti za wanyama hao. Hii kazi inafaa kwa wanafunzi wa darasa la kwanza na pili

Comments

avatar
blessings Rweikiza
2 years ago

nice

avatar
blessings Rweikiza
2 years ago

nice