Christina Kaminyoge

0 Min 0 Participants
kuwataka wanafunzi wajipange katika makundi ya watu 4.kisha wapangevitu katika makundi yenye rangi moja katika wingi na uchache .kuwauliza maswali je katika mafungu ya vitu mliyoyapanga ni fungu lipi lina vitu vingi na vichache ?

Comments

No Comments Found