Caroline Mwalyolo

0 Min 0 Participants
"Mazingira safi!" Mwalimu aliandaa michoro , ikionyesha watoto wakifanya shughuli za usafi, wanafunzi wakifagia , wakifyeka nyasi, wakimwagilia maji viunga ,nitawagawia zile picha katika makundi matano , pia nitawauliza wameona Nini kwenye picha kwa Kila kundi

Comments

No Comments Found