Tulalumba Mtimavalye

0 Min 0 Participants
"Irabu zetu" Unda makundi ya wanafunzi watatu na kuwaambia wachore mchoro wenye umbo la O mfano chungwa,mpira na tikiti,pia waimbe wimbo utakaohusisha vitu walivyochora na umbo la herufi O.kisha waulize je wameelewa nini kuhusiana na michoro ya maumbo waliyochora? A Activity hii inafaa kwa darasa la awali ,darasa la kwanza na darasa la pili,kwa somo la kuandika na somo la kumudu stadi za kisanii..

Comments

avatar
blessings Rweikiza
2 years ago

nice

avatar
blessings Rweikiza
2 years ago

gh

avatar
blessings Rweikiza
2 years ago

good

avatar
blessings Rweikiza
2 years ago

nice

avatar
blessings Rweikiza
2 years ago

woow

avatar
Tukupala Mwalyolo
1 year ago

nimeipenda