Irene Masika

0 Min 0 Participants
" tambua namba"kuandaa wanafunzi katika makundi matatu nitagawa namba zenye thamani za viwango mamoja,makumi,mamia waweze kuzitenga namba hzo katika makundi ili waeleze ni namna gani tunaweza kubaini thamani za tarakimu za namba .wataje thamani ya mamoja inatarakimu ngapi? pia thamani ya makumi inatarakimu ngapi?,na mamia pia inatarakimu ngap?,na kuzipanga namba hizo katika thamani za makundi ya namba darasa la kwanza na pili

Comments

No Comments Found