FRIDA MAKELA

0 Min 0 Participants
“Simulizi yetu!” Kama Mwalimu waambie wanafunzi watengeneze kundi la watu watatu na waandae hadithi fupi ya maigizo ya chaguo lao. Toa muda kwa kila kundi kujiandaa na kuonyesha kazi yao. Baada ya kila onyesho ruhusu wanafunzi wengine kujadili maigizo yalivyoendana na mada husika, na kama kila mwanakikundi alifanya kazi yake vizuri. Baada ya majadiliano waulize ni kitu gani wamejifunza kutokana na igizo husika na kwa jinsi gani nafasi zao zimeonyesha uhalisia wa jamii.

Comments

No Comments Found