Caroline Mwalyolo

0 Min 0 Participants
Anza na Mimi
“Anza na Mimi!” Mwambie kila mwanafunzi achore picha yake na kuipaka rangi za chaguo lake. Kutoka kwenye picha aliyochora, kila mwanafunzi aonyeshe mambo anayoweza kuyafanya kwa umahiri kwa kuchora mstari kutoka kwenye picha kuonyesha kila jambo. Mwambie kila mwanafunzi aandike angalau sentensi mbili zinazoanza na “Mimi najipenda kwasababu.......”, Kisha aandike sentensi tatu zaidi zinazoanza na “Marafiki Zangu wananipenda kwa sababu...........” Mwisho kila mwanafunzi aandike anataka kuwa nani akiwa mkubwa. Mwambie kila mwanafunzi awasilishe kuhusu picha aliyochora na taarifa zake mbele ya darasa.

Comments

avatar
blessings Rweikiza
2 years ago

nice

avatar
blessings Rweikiza
2 years ago

i like it

avatar
blessings Rweikiza
2 years ago

vbhjnk

avatar
blessings Rweikiza
2 years ago

good

avatar
blessings Rweikiza
2 years ago

nisdfgh

avatar
blessings Rweikiza
2 years ago

nice job

avatar
blessings Rweikiza
2 years ago

Nzuri

avatar
blessings Rweikiza
2 years ago

n nzur

avatar
blessings Rweikiza
2 years ago

n nzuri

avatar
Tukupala Mwalyolo
2 years ago

ni nzuru sana

avatar
Tukupala Mwalyolo
2 years ago

ni nzuru sana

avatar
Tukupala Mwalyolo
1 year ago

good

avatar
Tukupala Mwalyolo
2 months ago

I like this activity immensely

avatar
James Kanga
2 months ago

This is nice

avatar
James Kanga
2 months ago

This is good for people to know.

avatar
James Kanga
2 months ago

Good

avatar
James Kanga
2 months ago

So nice

avatar
James Kanga
2 months ago

This will be so good

avatar
James Kanga
2 months ago

Cheers