BEATRICE CHAPILE

0 Min 0 Participants
'ijue kompyuta' wanafunzi wakae katika vikundi vya watu watano. kila kundi likae katika kompyuta yao. wanakikundi wataje hatua za kuwasha na kuzima kompyuta pamoja na namna ya kuunganisha vifaa vya kompyuta. baada ya hapo kila kundi liunganishe vifaa vyote kwenye kompyuta na kisha kubonyesha kitufe cha kuwashia. baada ya kompyuta kuwaka, wanafunzi waeleze wanaona nini katika skrini au monitor. wanafunzi wazime kompyuta kwa kufuata hatua walizotaja awali. stadizi zinazoweza kupatikana ni kama zifuatazo; ushirikiano kujiamini mawasiliano kutambua maamuzi kuthubutu na kusikiliza hii inafaa darasa la 5 - 7 somo linalofaa ni sayansi na teknolojia

Comments

No Comments Found