Dickson Fredy

0 Min 0 Participants
“Shughuli zangu” Panga wanafunzi katika kundi la watu 2-3. Uliza kila kundi kutafakari shughuli ambazo huwa wanazifanya kila siku katika maisha yao mf. kulala, kucheza, kufua nguo, kupiga mswaki, kuoga n.k. Uliza kila mmoja katika kundi kutambua hisia na uchaguzi wa shughuli zilizo orodheshwa. Uliza ni shughuli gani anafanya zaidi, zipi ni muhimu kwake na muda gani anatumia kufanya shughuli hizo? Je, kuna namna anayoweza kuwa tofauti kwenye shughuli zake za kila siku akitoa muda mwingi kwa shughuli muhimu? Toa sababu.

Comments

avatar
blessings Rweikiza
2 years ago

nice

avatar
blessings Rweikiza
2 years ago

nice

avatar
blessings Rweikiza
2 years ago

nice

avatar
Tukupala Mwalyolo
2 years ago

SAFI SANA

avatar
Tukupala Mwalyolo
2 years ago

SAFI SANA