Kedmon Maquiz

0 Min 0 Participants
MAZINGIRA.wambie wanafunzi wake katoka vikundi vya wanafunzi watu hadi watano wavulana kwa wasichana wajadili kuhusu mazingira ya shule,usafi wa mazingira ya shule ndani na nje ya darasa ukiwa ni pamoja na usafi vyoo,upandaji wa Maia unaoonyesha ramani ya shule kwa mpangilio pia waorodheshe vifaa vya kufanyia usafi. Stadi zinazofaa ni kushilikiana,kufikiri mawasiliano, kufanyia maamuz I,kuongozwa na kuongozwa . Kazi hii inafaa kufundishwa darasa la tatu hadi la saba . Masomo yatakayo fundishwa ni sayansi,na teknolojia ,maarifa ya jamii English na kiswahili.

Comments

No Comments Found