Caroline Mwalyolo

0 Min 0 Participants
Mzingo
"Tutafute mzingo" Waambie wanafunzi waunde makundi na kila kundi liwe na wanafunzi 4. Waambie wanafunziwachukue daftari na kisha kwanza wapime urefu wa daftari hilo,kisha waandike jibu.Vilevie wapime upande mfupi wa daftari hilo na kuandika jibu lake. (a)Je, kuna tofauti gani kati ya upande mrefu na upande mfupi ?(b)Watafute jumla ya pande zote nne. (c)Wachore maumbo matatu tofauti yenye mzingo wa sm12. kisha kila kundi liwasilishe kazi mbele ya darasa.

Comments

No Comments Found