Caroline Mwalyolo

0 Min 0 Participants
Usafi
USAFI,Wapange wanafunzi katika makundi ya watu 3=5 kisha watake kila kundi kutaja shughuli za usafi wa mwili na mazingira wawapo nyumban mfano kuoga,kufua,kuosha vyombo, n.k baada ya majadiliano kila kikundi wawasilishe mbele ya darasa.

Comments

No Comments Found