baraka nombo

0 Min 0 Participants
Tunga sentesi wambie wanafunzi waunde vikundi vya watu watano watanona Kila kundi watunge sentesi kwa kufuata mtiririko muzurikabla ya kwenda shule aanze na neno naenda shnaamuka amalizie neno. Naingia darasani. Pia hakikisha mwanagunzi anashiliki kikamilifu baada ya utungaji huo Kila kikundi kiwasilishe kazi take stadi zilizo tumika Ni kuishi mwenyewe ambayoni kuthubutu na kuishi na wengine ambayo Ni kuwasiliana. Na stadi ya kutambua ambayo Ni kutambua. Insfaa kwa darasa la tatu had la sita masomo yanayotakiwa kufundishia Ni kiswahili na english

Comments

No Comments Found