Admin Admin

0 Min 0 Participants
Tunaweza
"Tunaweza". Tengeneza picha za vitu mbalimbali na za mazingira tofautitofauti, Kama picha zawanyama au ndege au picha za watu wanaoonekana wanafanya matendo Fulani. Kwa kutumia picha hizo wataje wanafunzi waandike insha ya maneno 200 kuelezea tendon la Kwanza Hadi la mwisho kwa mfuatano sahihi na kwa kufuata Alana za uandishi. Kutokana na insha hiyo wanafunzi waandike kichwa Cha insha.Watake wapite mbele ya darasa kuwasilisha. Mwisho wanafunzi wachague insha zinazowavutia na zilizo Bora zaidi. STADI:1.kuishi mwenyewe(kujiamini, kuthubutu, kujiheshimu), stadi ya kuishi na watu wengine(kushirikiana,kuwasilisha na kuongoza na kuongoza), stadi ya utambuzi(kusikiliza, kufikiri, kufanya mamuzi na ubunifu).kazi hii inafaa kwa SoMo la kiswahili na kiingereza. Kazi hii inafaa kwa darasa la V-Vii.

Comments

No Comments Found