Admin Admin

0 Min 0 Participants
Usafi
USAFI.Wapange wanafunzi katika makundi ya watu 3 hadi 5 kisha watake kila kundi kutaja shughuli za usafi wa mwili na mazingira wawapo nyumbani mfano kufua,kuoga,kuosha vyombo,n.k baada ya majadiliano kila kikundi wawasilishe mbele ya darasa.kazi hii inafaa sana darasa la 4,5,6,na 7 katika somo la sayansi na teknolojia na uraia na maadili.

Comments

avatar
Test User
8 months ago

Sample comment