Admin Admin

0 Min 0 Participants
Mazingira
"MAZINGIRA"- Waambie wanafunzi wachague marafiki zao watatu kwa kufuata jinsia na kuunda kikundi cha watu watatu. Kisha katika kila kundi cha marafiki watoke nje na kuangalia mazingira na kila kundi wataje mambo yanayounda mazingira mbele ya darasa. -kazi hii inafaa kwa darasa la 3 hadi 7 - kazi hii inafaa kwa masomo ya maarifa ya jamii , sayansi, uraia na maadili. -Stadi zinazoongezeka pia ni stadi ya kufikiri,kufanya maamuzi, kujiamini, kujitambua.

Comments

No Comments Found