Admin Admin

0 Min 0 Participants
MBUGA ZA WANYAMA;wapange wanafunzi katika makundi yenye wanafuzi 5-8,waambie wataje mbuga za wanyama zinazopatikana katika nchi ya Tanzania,mojawapo ya faida ya kuwepo mbuga za wanyama nchini ni kutupatia fedha za kigeni pale watalii wanapotembelea nchi yetu.Na watawasilisha kazi hiyo .

Comments

avatar
blessings Rweikiza
2 years ago

nice