helena bukuku

0 Min 0 Participants
"Tunaweza". Tengeneza picha za vitu mbalimbali na za mazingira tofautitofauti. Kwa kutumia picha hizo watake wanafunzi waandike insha ya maneno yasiyozidi 200 kwa kufuata Alama za uandishi. Pia waandike kichwa Cha insha kinachotokana na insha waliyoiandika. Baada ya Hapo Kila kundi la wanafunzi 3-4 litawasilisha mbele ya darasa.

Comments

avatar
Tukupala Mwalyolo
2 years ago

nice